Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee hatari Sana jinsi alihonga hvoAmeliwa kichwa Dodoma.
Bulembo ndio alihonga milion sitini na akakatwa, maana viti maalumu wa uvccm Ni sura mpya Tena ngumu ngumuKumbe Halima Bulembo nae kaliwa kichwa ?Hata yule aliyeongoza UVCCM nae kaliwa kichwa.
Una uhakika gani CCM watashinda?Naona nafasi yake ameandaliwa mwana fa na nape kuongoza iyo wizara ccm bana
Kuna vitu vya kubahatisha, na kuna vitu ni straight forward, kitu cha kuuliza ni labda the victory margins kama ni 90%, 95% or 99 9% kama uchaguzi wa serikali za mitaa!.Una uhakika gani CCM watashinda?
Nimelimisi hilo totozWakudadavuwa tupatie maelezo
Kwa yale macho yake Viti maalum hana mpinzani!Vipi Kabudi naye kagombea au naye aligombea viti maalum?!
Hongera sana
Kapata uwaziri gani?