Yupo wapi Kali P?

Yupo wapi Kali P?

Muyobhyo

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
8,149
Reaction score
6,547
Hivi huyu mwanamziki bado yupo duniani, nilikuwa napenda sana nyimbo zake, hasa ule imekaa vibaya hi bado haijatulia

Lucas Mobutu,]
 
Attachments

  • Kali P.jpeg
    Kali P.jpeg
    89.8 KB · Views: 8
Nipo nasikiliza nyimbo zake ni vituko sana,the guy was talented
 
Wimbo unaitwa imekaa vibaya, huo wimbo umekaa kikomedy zaidi , " sjui nirudi kijijini ," [emoji23]
Hahaha naupata huo wimbo [emoji23]
Sasa kuna mmoja analalamika police kuitwa wazee,anadai bora weitwe ngunguri jina walopewa na boss wao
 
Imekaa vibaya pananifurahisha pale jamaa alipoingia selo wafungwa wenzake wakawa wanamshangilia mwa mwa mwa
Eti yeye anadai walimuogopa[emoji23]
Alafu anadai police walimuuliza jamaa kaka ake ni nani
 
Imekaa Vibaya hio haijatulia ,imekaa Vibaya hio haijatulia imekaa Vibaya hio haijatulia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kuna siku nikamwimbia jamaa yangu fulani hivyo akacheka Hadi akaanguka kwenye kiti alihusianisha wimbo na tukio fulani lililomtokea juzi yake [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23]au ulimwambia kwa sauti ya kali p
 
Back
Top Bottom