Yupo wapi Kali P?

Yupo wapi Kali P?

"Madem hawapendi maboy goigoi,jino moja umeshtuka...dem akusema stakiii kumbe anataka unatoa kambale unampaa fastafasta[emoji23][emoji23][emoji23]
Shehe Kali Popote alikua ana burudani sana
[emoji23]kichizi
Nyimbo zake zinatoa stress
 
Anasema nalewa pombe nasahau had kaz nilifikir kaz ya upolisi ni yangu peke angu
Huu wimbo naupendea biti lake na hayo maneno ya kuchekesha..Eti
Walienda kuuza virungu vya porisi ili wapate hela ya pombe
 
Anasema nalewa pombe nasahau had kaz nilifikir kaz ya upolisi ni yangu peke angu
"Na nikifa nitazikwa na gwanda langu na crown yangu [emoji146]"
hahaha
Kuna group la Whatsapp wamenitumia nyimbo zake,ni la bongo flava za zamani,nipo naburudika mkuu
 
Nina mbinu zote za kijeshi na kipolisi
Kibaka mdogo kama wewe hunibabaishi
Jisachisaji utoe chochote utoke mdogo wangu
Kukamua ndiyo kazi yangu
....
Aisee afande Mo unajua hii ni kesi
Kuogopa mgambo zaidi ya sisi polisi
.
"Na nikifa nitazikwa na gwanda langu na crown yangu [emoji146]"
hahaha
Kuna group la Whatsapp wamenitumia nyimbo zake,ni la bongo flava za zamani,nipo naburudika mkuu
 
"Na nikifa nitazikwa na gwanda langu na crown yangu [emoji146]"
hahaha
Kuna group la Whatsapp wamenitumia nyimbo zake,ni la bongo flava za zamani,nipo naburudika mkuu
Mkuu naomba nitafutie "Ngangari" ya Gangwe Mob kwenye chimbo lako!
Natanguliza Shukran
 
"unakula biscuits unashinda siku nzima alafu unachokoza ugomvi" [emoji23]
Adumile tumchinje
 
Nina mbinu zote za kijeshi na kipolisi
Kibaka mdogo kama wewe hunibabaishi
Jisachisaji utoe chochote mdogo wangu
Kukamua ndiyo kazi yangi
....
Aisee afande Mo unajua hii ni kesi
Kuogopa mgambo zaidi ya sisi polisi
.
[emoji23] hahaha ila huyu jamaa bana, hiki ni kipaji hakijawahi kutokea bongo,anaimba vitu vya ajabu ila vinafurahisha
 
"Na nikifa nitazikwa na gwanda langu na crown yangu [emoji146]"
hahaha
Kuna group la Whatsapp wamenitumia nyimbo zake,ni la bongo flava za zamani,nipo naburudika mkuu

Kuna sehem walimwambia unalewa utapauliwa mayai ukisikiliza lazima ucheke tuu
 
Hii hapa, IMEKAA VIBAYA-KALI P
"Umenyoa panki afu unabisha huuzi nyago wewe"
 
Kuna sehem walimwambia unalewa utapauliwa mayai ukisikiliza lazima ucheke tuu
Hahaha,na tumbo joto unaipata ?
"Unajua wanawake wa daslamu bila mkwara wa makonde tukiwatongoza hawakubali afu ni majeuri afu ukiwambia mambo wanajibu kama mgambo kasoro bunduki,kwanini wasijibu kama police kasoro kirungu "
 
"we p funk ,unajua utani na wanachi mi sitaki wewe vijana wa bongo record ingekua sio wewe mwili mkubwa ningewapa kesi,nimepita maskani yao wakaniita vipi mshikaji wetu,kwani mi mwanamke ?"

"Bora mtuite ngunguri jina alotupa boss wetu,la sivyo mtaona kibano chetu,vidabo ji"[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaha,na tumbo joto unaipata ?
"Unajua wanawake wa daslamu bila mkwara wa makonde tukiwatongoza hawakubali afu ni majeuri afu ukiwambia mambo wanajibu kama mgambo kasoro bunduki,kwanini wasijibu kama police kasoro kirungu "

Tumbo joto nimeisahau mkuu ngoja nikaitafute google hlf nitaleta mrejesho anaimba vitu vya kuchekesha sana
 
Back
Top Bottom