Kawa ustaadh saivi kwacha muzikiHivi huyu mwanamziki bado yupo duniani, nilikuwa napenda sana nyimbo zake, hasa ule imekaa vibaya hi bado haijatulia
Napenda sana nyimbo za kali P ,eti analalamika polisi kuitwa wazee wakati wao bado damu inachemkaDuuh imekaa vibaya hii bado haijatulia
Huuu nhaaa mathtaa"wakati tupo kituoni tukawa hatuna mapene mfukoni,tukaiba virungu vya polisi,tukaenda kuuza kwa mama ntilie apikie msosi yule mwasibu wetu akatupa kesi,"[emoji23]
Hiyo alisema kwenye nyimbo gani hvi mkuu[emoji851]Huu haaah mastaaaaa...!!
Wimbo unaitwa imekaa vibaya, huo wimbo umekaa kikomedy zaidi , " sjui nirudi kijijini ," 😂Hiyo alisema kwenye nyimbo gani hvi mkuu[emoji851]
Hahaha naupata huo wimbo [emoji23]Wimbo unaitwa imekaa vibaya, huo wimbo umekaa kikomedy zaidi , " sjui nirudi kijijini ," [emoji23]
Eti yeye anadai walimuogopa[emoji23]Imekaa vibaya pananifurahisha pale jamaa alipoingia selo wafungwa wenzake wakawa wanamshangilia mwa mwa mwa
Imekaa vibayaHiyo alisema kwenye nyimbo gani hvi mkuu[emoji851]
[emoji23]au ulimwambia kwa sauti ya kali pImekaa Vibaya hio haijatulia ,imekaa Vibaya hio haijatulia imekaa Vibaya hio haijatulia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna siku nikamwimbia jamaa yangu fulani hivyo akacheka Hadi akaanguka kwenye kiti alihusianisha wimbo na tukio fulani lililomtokea juzi yake [emoji1787][emoji1787][emoji1787]