Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona yupo? Amejaa teleMbona unanicheka hvy?
Muhimu kuulizia hali ya member kama hivyoHabarini
Jamani hivi yupo wapi huyu bidada aitwae khantwe, nimemiss uchesh wake na michango yake kwenye forum.
Mwenye taarifa zake anijuze yupo wapi . Majukwaa yote simuoni
[emoji16][emoji16] sitaki kiharibike kitu maana bwana harusi hachelewi kughairi akiona mambo hayaendi kama anavyotakaMaandalizi ya ndoa ya pacha wake anapotea hv, yake itakuaje?
PRONDO kamati uliyomuweka bibie ngumu hebu mtafutie yenye ahueni tupate kumuona.[emoji23][emoji23]
😁Halafu dakika chache baada ya kurudi ndio anakuulizia
Yaani[emoji16][emoji16][emoji16]Halafu dakika chache baada ya kurudi ndio anakuulizia
Ndio mimi mwenyewe mwaegoDaa ndio wewe kweli, mbona unanichanganya hy avastar yako na ya member mmoja aitwae misil or mishil sina uhakika lipi jina sahihi
Huyo khantwe tangu mwaka uanze sijamuona[emoji22]
🤣🤣🤣unatuchanganya