Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Ngoja na mimi nipotee nione kama nitauliziwa😀😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niponae huku Ushirombo, na nilimpiga marufuku asionekane tena humu ndaniHabarini
Jamani hivi yupo wapi huyu bidada aitwae khantwe, nimemiss uchesh wake na michango yake kwenye forum.
Mwenye taarifa zake anijuze yupo wapi . Majukwaa yote simuoni
😁😁😁Niponae huku Ushirombo, na nilimpiga marufuku asionekane tena humu ndani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kwa nini wanaume wengi wanachukia vikoba etiUnamuulizia mke wangu wa nini?? Hayo mambo yenu ya vikoba sitaki kuyasikia hapa kwangu
Mungu ni mwema maisha yanasonga mbele.Kwema Kaka Mkubwa habari za Uzima
Sijui hata kwa nini!!..
Yupo wasafi tv siku hiziHabarini
Jamani hivi yupo wapi huyu bidada aitwae Khantwe? Nimemiss ucheshi wake na michango yake kwenye forum.
Mwenye taarifa zake anijuze yupo wapi, Majukwaa yote simuoni!
Ushabadili tena mkuu
Yaah..Sipendi tu kusika mambo kusika mambo yenu ya mchezo..
Hahaha kwa sie wa uswahilini hayakwepekiYaah..Sipendi tu kusika mambo kusika mambo yenu ya mchezo..
Hivi mnashindwaga kutunza hela zenu wenyewe??
Kutunza hela ni ngumu, na kingine ukiwa na mchezo unajituma iwe isiwe lazima uipate hela ya kutoaHivi mnashindwaga kutunza hela zenu wenyewe??
Okay,kumbe..basi endeleeni kupambanaKutunza hela ni ngumu, na kingine ukiwa na mchezo unajituma iwe isiwe lazima uipate hela ya kutoa
Sent using Jamii Forums mobile app