Yupo wapi Lady Mariam aliyeimba Tinda tine?

Pampula jr

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2013
Posts
606
Reaction score
192
Naomba kuuliza, Hivi yupo wapi siku hizi huyu mwanamziki Lady Mariam wa Uganda aliyetamba na kibao cha Tindatine, simsikii kabisa?

 
Last edited by a moderator:
Kitu cha mwaka huu
 
Last edited by a moderator:
Huo wimbo niliusikia kwa mara ya kwanza 2006 nikiwa mitaa ya Kibuli wakati nakaa Natete. From there kila nikiusikia nakumbuka maeneo hayo
 
Naomba kuuliza, Hivi yupo wapi siku hizi huyu mwanamziki Lady Mariam wa Uganda aliyetamba na kibao cha Tindatine, simsikii kabisa?


"Amagara gangye goona gakakwenga kwiha obunkureba no mutima gwangye gukakwenga obwe ntalikumanyaaa, kasimba amaju ahansi nashaba ekiro no mwihangwe, ninkushaba ruhanga anyambe akundetelee, akahurira eshara zangye yakuronda yakureta mbwenu kankusiime naanye mkwebaze nowamaani"

Ahaaa yupo nyabushozi.

Ila mbona bado yupo anaimba? Nampenda sana mariam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…