Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah kitambo sana aiseee pia alikuwa ni mzuri
Kwani sasa hivi siyo mzuri?Dah kitambo sana aiseee pia alikuwa ni mzuri
"Amagara gangye goona gakakwenga kwiha obunkureba no mutima gwangye gukakwenga obwe ntalikumanyaaa, kasimba amaju ahansi nashaba ekiro no mwihangwe, ninkushaba ruhanga anyambe akundetelee, akahurira eshara zangye yakuronda yakureta mbwenu kankusiime naanye mkwebaze nowamaani"
Ahaaa yupo nyabushozi.
Ila mbona bado yupo anaimba? Nampenda sana mariam.
Hayo maneno kayaimba kwenye ubeti wa kwanza, kutafisiri du kazi nyingine hiyo.Ingependeza km ungetoa tafsiri yake
Muongo wewe MlumumbaHuyu yupo mbona nimeshahudhuria show zake sana Bukoba