Yupo wapi Lizaboni,Fayza fox na Ritz?

Yupo wapi Lizaboni,Fayza fox na Ritz?

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Mara baada ya sirikali ya awamu ya tano kuingia magogoni hawa memba wenzetu waliotikisa hili jukwaa wakati wa uongozi wa awamu ya nne wametoweka kama vile mvua za pwani,tafadhali mwenye taarifa nao atujuze
 
Wamesoma alama za nyakati wameamua kuwarithisha ujinga kina wakudadavua.Siku hizi buku 7 hazipo tena
 
Mara baada ya sirikali ya awamu ya tano kuingia magogoni hawa memba wenzetu waliotikisa hili jukwaa wakati wa uongozi wa awamu ya nne wametoweka kama vile mvua za pwani,tafadhali mwenye taarifa nao atujuze

Wamepewa vyeo....mmoja ni DC, Mwingine mkuu wa mkoa, na wa Mwisho ni Naibu waziri
 
Hukuona jana mwenzao Troll J aliyekuwa maarufu tangu awamu hii ianze kwa kutetea kila kitu cha serikali hii akiaga kuwa hataonekana tena humu. Inaonekana book 7 hamna tena maana mapato mengi yameelekezwa chato kujenga uwanja wa kimataifa wa ndege.
 
Mara baada ya sirikali ya awamu ya tano kuingia magogoni hawa memba wenzetu waliotikisa hili jukwaa wakati wa uongozi wa awamu ya nne wametoweka kama vile mvua za pwani,tafadhali mwenye taarifa nao atujuze
Kiswahili fasaha:

Wako wapi Lizaboni, Fayza Foxx na Ritz?

Faiza angekuambia shule umeenda kusomea ujinga?

Wingi na umoja
 
Wanapambana na hali zao.

Wewe si umeona jamaa wanakipigania chama halafu wanaopewa Uwaziri ni akina Shonza! Inauma ati!

Labda wasubiri mpaka 2025...Lakini by then hata technology itakuwa imeshabadirika kwa hiyo itabidi tuu wakakamate mashamba wakalime matikiti Morogoro. Hakuna namna. Ngosha siyo kabisa!
 
Kiswahili fasaha:

Wako wapi Lizaboni, Fayza Foxx na Ritz?

Faiza angekuambia shule umeenda kusomea ujinga?

Wingi na umoja
Vipi leo utakwenda police kamata?
 
Back
Top Bottom