bloggerboy
JF-Expert Member
- Nov 13, 2017
- 568
- 1,221
Namkumbuka huyu mama, nikiwa mwanafunzi bagamoyo, alikuwa moto sana kuna siku nakumbuka tulileta mgomo mkuu wa shule akutufukuza wanafunzi 15 lakini wote tulizikataa barua assemble.
Huyu mama akaja akasema kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzaniatz na kwa mamlaka niliyopewa kisheria nafunga shule hii mpaka nitakapowaita.
Sitaki kuona mwanafunzi ndani ya dk 1 ijayo
Mwenye namba zake naomba