bloggerboy
JF-Expert Member
- Nov 13, 2017
- 568
- 1,221
petukiza ipo wapi,nina shida naeYupo kwao huko kunaitwa petukiza!
Mpakani mwa Kongo na Zambiapetukiza ipo wapi,nina shida nae
Hebu nipe mimi mzee mwenzangu, maza pisikali hivi, inafaa kwa matumizi ya ziada na KIADA.Huyu hapa
Njoo Inbox nitakupa number yake.
P
Petukiza ipo njia kuu ya kutokea Tanga kuelekea Mombasa!petukiza ipo wapi,nina shida nae
Ana mjukuu na Abass ambaye yupo UNICEFHebu nipe mimi mzee mwenzangu, maza pisikali hivi, inafaa kwa matumizi ya ziada na KIADA.
[emoji38]
Duu mkuu na wewe ulikuwa kwenye ule msala? Huyu mama ndio alimwamisha mwalimu Masenga baada ya mabinti kumshitaki kawaambia hawana sifa ya mariamu mama ake Yesu.Namkumbuka huyu mama, nikiwa mwanafunzi bagamoyo, alikuwa moto sana kuna siku nakumbuka tulileta mgomo mkuu wa shule akutufukuza wanafunzi 15 lakini wote tulizikataa barua assemble.
Huyu mama akaja akasema kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzaniatz na kwa mamlaka niliyopewa kisheria nafunga shule hii mpaka nitakapowaita.
Sitaki kuona mwanafunzi ndani ya dk 1 ijayo
Mwenye namba zake naomba