Habari wakuu,
samahani naomba kuuliza kwa wale wafuatiliaji wa kipindi cha Sport Headquater EFM 09.00 asubuhi hadi saa 12.00 NAOMBA KUJUA ALIPO MCHAMBUZI NGULI NA KIONGOZI WA MICHEZO E FM IBRAHIM MASSOUD (MAESTRO)
Ni takriban week mbili sijamsikia, Ningekuwa na mawasiliano yake ningemuuliza.
Naukubali sana weledi wake katika soka.