Kwako Husein Masanza
Bruno nae yupo wapi?Yupo mtamuona tu
Amerogwa, kafichwa huko mapangoniHuyu ni mmojawapo wa wachezaji waliosajiliwa kwa mbwembwe kipindi cha dirisha kuu la usajili msimu huu. Cha kushangaza alicheza mechi zisizozidi mbili za mashindano. Tangu mwezi Septemba 2023 hajaonekana tena akichezea Singida Fountain Gate/Singida Big Stars.
Je sababu ni ipi? majeruhi, mkataba ulivunjwa, hakukamilisha usajili au kuna kipi kinaendelea
Wotee wapoooBruno nae yupo wapi?
| Season | Club | League | Continent | Nat. cups | International | Total | |||||||||||||||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| tier | Games played | goals | ass. | eff. | Games played | goals | ass. | eff. | Games played | goals | ass. | eff. | Games played | goals | ass. | eff. | |||||||
| 2023/2024 | Singida | 1 | |||||||||||||||||||||
| 2021/2022 | Mazembe | 1 | 2 | 2 | |||||||||||||||||||
| 2020/2021 | Mazembe | 1 | 5 | 2 | 183 | 1 | 2 | 8 | 2 | 208 | |||||||||||||
| 2019/2020 | Mazembe | 1 | 1 | 1 | 44 | 1 | 2 | 1 | 65 | ||||||||||||||
| 2018/2019 | JS Saoura | 1 | 8 | 1 | 368 | 5 | 4 | 17 | 1 | 680 | |||||||||||||
| 2018 | Al Hilal | 1 | 1 | 2 | 3 | ||||||||||||||||||
| 2017 | Eskilstuna City | 5 | 5 | ||||||||||||||||||||
| 2017 | Free | 1 | 1 | ||||||||||||||||||||
| 2015/2016 | Mazembe | 1 | 1 | 12 | 1 | 583 | 7 | 1 | 617 | 20 | 2 | 645 | |||||||||||
| 2014/2015 | Mazembe | 1 | 6 | 4 | 2 | 173 | 10 | 2 | 287 | ||||||||||||||
| 2013/2014 | Mazembe | 1 | 1 | 1 | 2 | 90 | 9 | 4 | 1 | 341 | 14 | 2 | 2 | 364 | |||||||||
| 2013 | Mazembe | 1 | 9 | 2 | 333 | 9 | 2 | 333 | |||||||||||||||
| 2012 | Mazembe | 1 | 4 | 2 | 6 | ||||||||||||||||||
| 2011 | Mazembe | 1 | 2 | 2 | |||||||||||||||||||
| 2011 | AFC Academy | ||||||||||||||||||||||
| 2010 | AFC Academy | 2 | 2 | ||||||||||||||||||||
| 2009/2010 | Moro United | ||||||||||||||||||||||
| 2008/2009 | Moro United |
Hujajibu swali mkuu, yupo wapi? Lakini hongera kwa ushindi wa jana japo mmekuwa na bahati mbaya mnakutana na jitu nusu fainaliYupo mtamuona tu
Umri, ana 40 yrs kwa leo.Huyu ni mmojawapo wa wachezaji waliosajiliwa kwa mbwembwe kipindi cha dirisha kuu la usajili msimu huu. Cha kushangaza alicheza mechi zisizozidi mbili za mashindano. Tangu mwezi Septemba 2023 hajaonekana tena akichezea Singida Fountain Gate/Singida Big Stars.
Je sababu ni ipi? majeruhi, mkataba ulivunjwa, hakukamilisha usajili au kuna kipi kinaendelea
kwahiyo samata ana ngapi?Umri, ana 40 yrs kwa leo.