Yupo wapi Moze Iyobo wa WCB?

Yupo wapi Moze Iyobo wa WCB?

Autopsy

Member
Joined
Nov 18, 2018
Posts
13
Reaction score
14
Habarini Wanajamvi,

Hivi yule “mwandani” na “mkaribu” haswa wa Msanii Diamond Platnumz zama zile ambaye pia alikuwa akiongoza “dancers” wake, Mozes Iyobo, yupo wapi siku hizi?

Jina la Iyobo limekufa ghafla na si kawaida, sijui kama wenzangu mumelifahamu hili.

Wakati huo ilikuwa ni nani angemsogelea “mkulu” huyo wa WCB ama kushirikishwa mipango yake hata ya ndani zaidi ya Moze Iyobo?

Sikuhizi Diamond Platnumz ana ukaribu mkubwa sana na Rayvanny kuliko hata Harmonize ama msanii mwingine yeyote WCB. Tuseme ndio upepo unavuma kwa msimu?

Mwenye “update” yoyote juu ya huyu jamaa atushirikishe tafadhali.

IMG_0615.JPG
 
Dogo anakula pensheni (kwa kikotoo - kiuno) toka kwa mstaafu Anti
 
Labda ni majukumu yanawaweka mbali
Ila iyobo kuachana na mondi si rahisi.. Mondi anampenda mno huyo kijana wametoka mbali sana..
 
Sijaangalia hiyo wasafi festival Kwani hakuna dancers?
Maana nakumbuka walikua kama wanne hivi
 
Back
Top Bottom