Yupo wapi Moze Iyobo wa WCB?

Yupo wapi Moze Iyobo wa WCB?

Kinachofanyika ni kwamba Mose anamfundisha diamond mastaili na kudance na hata dancer wanaotokeaga kwenye nyimbo mose ndo huwa anasimamia show....Kwahyo yupo anafanya kazi Ila kumuona huwezi ila effects zake ndo zinaonekana
 
Back
Top Bottom