ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Mazungu mapumbavu sana....yaliandika "a conman from black country".....as if ushetani ndio umejaa huko black country
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa anafanya maovu, ila mpambanaji, sana tu, tena anawachapa mizungu, poa tu, ila nashangaa tena mmoja wa wabunge wa CHADEMA kuhusishwa naye humu, tena mdau kadai mponjoli anapiga sembe! Mbona CHADEMA kila kukicha wanaingia kwenye hili swala la SEMBE?! Kuanzia Mwenyekiti mpaka wengine?! Kunani?!Umofia Kwenu wana JF
Hapana Mkuu..licha ya kwamba wote ni wanyakyusa, Kifukwe kwao Kyela na ana mtoto wake wa kiume ni coloured huwa anatangaza kipindi cha Uongozi Iinstitute ITV huwa anawahoji viongo mbalimbali. Mponjoli a.k.a Dr Ponjo kwao ni pale Mbeya mjini ambapo baba yake alikuwa Contractor maarufu na mbishi sana enzi hizo..hao kina Ponjo kwao ubishi ni asili yao.Huyu ndie yule Mponjoli Kifukwe aliekuwa Yanga au?
Sio mwanawe ,dk gamwaka kifukwe, jina la Kati nimelisahau lakini sio francisHapana Mkuu..licha ya kwamba wote ni wanyakyusa, Kifukwe kwao Kyela na ana mtoto wake wa kiume ni coloured huwa anatangaza kipindi cha Uongozi Iinstitute ITV huwa anawahoji viongo mbalimbali. Mponjoli a.k.a Dr Ponjo kwao ni pale Mbeya mjini ambapo baba yake alikuwa Contractor maarufu na mbishi sana enzi hizo..hao kina Ponjo kwao ubishi ni asili yao.
Bingwa Sio Kila Kitu Unaweka Siasa.
Ok..so Dr Gwamaka baba yake ni yupi?S
Sio mwanawe ,dk gamwaka kifukwe, jina la Kati nimelisahau lakini sio francis
Raymond Kifukwe, kwani kila kifukwe ni lazima awe francis kifukwe ?Ok..so Dr Gwamaka baba yake ni yupi?
Mimi sijui!Raymond Kifukwe, kwani kila kifukwe ni lazima awe francis kifukwe ?
Mrangi hilo swali inatakiwa tukuulize wewe!Huyu mwamba wakati naingia sangu sec form 1 wao walikuwa form four wakati huo mwalimu mkuu wa sangu alikuwa smbdy makande(RIP)
Wakina mponjoli ndy walikuwa wababe shule form 1 njuka ukingiaa lazima wawaletee ubabe
Ila kwa form 1 ahhh wenyewe walizima fegi maana wanafunzi wngi tiliyo jiunga form 1 tulikuwa tumepindaaa hakuna aliyetaka kuonewa
Hivi huyu mwamba mponjoli Alisha toka jela huko UK? Mwenye data zake anipe
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Du mbona umemkomalia sana una RB yake nini,umeambiwa yupo States,ila usiniulize jimbo gani tenaYupo Wapi Siku Hizi?
Miaka hii atakuwa Mtu mzima , jamaa ni mpambanaji sana.Huyu mwamba wakati naingia sangu sec form 1 wao walikuwa form four wakati huo mwalimu mkuu wa sangu alikuwa smbdy makande(RIP)
Wakina mponjoli ndy walikuwa wababe shule form 1 njuka ukingiaa lazima wawaletee ubabe
Ila kwa form 1 ahhh wenyewe walizima fegi maana wanafunzi wngi tiliyo jiunga form 1 tulikuwa tumepindaaa hakuna aliyetaka kuonewa
Hivi huyu mwamba mponjoli Alisha toka jela huko UK? Mwenye data zake anipe
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu nlipiga naye sangu sec sema alinizidi vidato...wakat naingia sangu sec hao ndy walikuwa wababe wa shule mgeniUmofia Kwenu wana JF,kwanza nawapenda kuwatakia heri ya mwaka mpya wa 2014
Kuna jamaa mtajwa hapo juu alitikisa sana miaka ya 2007-2008 kwa utajiri wa hajabu,lakini nikaja kusikia kama alikamatwa na kufungwa huko UK mwaka 2008,vp ashatoka? au bado maana alipigwa nyundo nne tu!
"Among the success stories for the police is the near £900,000 seized from Walsall conman Mponjoli Malakasuka (pictured) who has been stealing and exporting high powered luxury cars.
Malakasuka, aged 36, from the Yew Tree
estate, was ordered to pay back the money in one month or face an additional four years in jail. He was originally sentenced to three-and-a-half years in July 2008 for conspiracy to steal.
Malakasuka had used a variety of
sophisticated methods to steal prestige
vehicles which he then exported out of the UK to Tanzania and Kenya. The cars were stolen both through car key burglaries and a variety of identity fraud and fake hire purchase agreements.
The cars included Mercedes Benz S320 CDi and Porsche Cayenne cars. In all over
£300,000-worth of vehicles were stolen.
At the time of his arrest police discovered
Malakasuka to be living a life of luxury in
his four-bed house."
========
========
Source: Police recoup £1.4m from criminals in last two weeks as war on crime profits gathers pace
Sana,tulikuja kutana sana miaka fulani alafu baba yake mbeya alikuwa na hela kipindi kile hakutoka kwenye familia ya kinyongeMiaka hii atakuwa Mtu mzima , jamaa ni mpambanaji sana.
Kafungwa kwa soo.gani.au.mambo yaleyale ya racketeeringAlikuwa mtu poa sana aisee na kweli alitoka jela akakaa UK. Ila naona amefungwa tena US.