Yupo wapi Mponjoli Malakasuka?

Mazungu mapumbavu sana....yaliandika "a conman from black country".....as if ushetani ndio umejaa huko black country
 
Umofia Kwenu wana JF
Sawa anafanya maovu, ila mpambanaji, sana tu, tena anawachapa mizungu, poa tu, ila nashangaa tena mmoja wa wabunge wa CHADEMA kuhusishwa naye humu, tena mdau kadai mponjoli anapiga sembe! Mbona CHADEMA kila kukicha wanaingia kwenye hili swala la SEMBE?! Kuanzia Mwenyekiti mpaka wengine?! Kunani?!
 
Huyu ndie yule Mponjoli Kifukwe aliekuwa Yanga au?
Hapana Mkuu..licha ya kwamba wote ni wanyakyusa, Kifukwe kwao Kyela na ana mtoto wake wa kiume ni coloured huwa anatangaza kipindi cha Uongozi Iinstitute ITV huwa anawahoji viongo mbalimbali. Mponjoli a.k.a Dr Ponjo kwao ni pale Mbeya mjini ambapo baba yake alikuwa Contractor maarufu na mbishi sana enzi hizo..hao kina Ponjo kwao ubishi ni asili yao.
 
S Sio mwanawe ,dk gamwaka kifukwe, jina la Kati nimelisahau lakini sio francis
 
Bingwa Sio Kila Kitu Unaweka Siasa.
 
Huyu mwamba wakati naingia sangu sec form 1 wao walikuwa form four wakati huo mwalimu mkuu wa sangu alikuwa smbdy makande(RIP)
Wakina mponjoli ndy walikuwa wababe shule form 1 njuka ukingiaa lazima wawaletee ubabe
Ila kwa form 1 ahhh wenyewe walizima fegi maana wanafunzi wngi tiliyo jiunga form 1 tulikuwa tumepindaaa hakuna aliyetaka kuonewa
Hivi huyu mwamba mponjoli Alisha toka jela huko UK? Mwenye data zake anipe

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mrangi hilo swali inatakiwa tukuulize wewe!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka hii atakuwa Mtu mzima , jamaa ni mpambanaji sana.
 
Huyu nlipiga naye sangu sec sema alinizidi vidato...wakat naingia sangu sec hao ndy walikuwa wababe wa shule mgeni
Ukifika lazima ureport kwao
Ila mziki wangu waliona...wenyew walikubali

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…