Pre GE2025 Yupo wapi Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kati Devotha Minja? Haonekani kwenye mapokezi ya Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
Wakuu nilitegemea maandalizi na mapokezi ya kumpokea mwenyekiti wa Chadema taifa Tundu Lissu yangekuwa yanaratibiwa na mwenyekiti wa chama kanda ya kati Devotha Minja.

Lakini atumuoni wakati hili ni eneo lake la kiuongozi kwenye chama.

Je, Tundu Lissu amemtenga au bado Lissu ameshindwa kukiunganisha chama?

====

Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kati Devotha Minja akitoa neno katika ibada ya maombezi nyumbani kwa Tundu Lissu kijijini kwao Ikungi

Your browser is not able to display this video.
 
Kila lifanyikalo Chadema linamakosa! Kununua magoli yasiyo na tija tunashangilia!
 
Chama kilishapasuka. Sasa kinatapatapa tu..
 
Angalia kipindi anahutubia Rose Mayemba aliyesimama nyuma yake ni nani No research No light to speak
 
Angalia kipindi anahutubia Rose Mayemba aliyesimama nyuma yake ni nani No research No light to speak
Hawa bado wanaugulia ya maumivu uchaguzi kwahio wanaropoka lolote ilimradi wajifariji tu,
 
Nashukuru mods wamemuumbua huyu nzi ya kijani kwa kumuwekea clip inayomuomesha Devotha Minja kwenye ibada ya Lissu leo.

Huu ni ushahidi tosha kuwa huko CCM saivi wamejaa majuha
 
Devota keshaunga juhudi, ni kijani tayari. Tunasubiri tu muda mwafaka tumtangaze/tumhalalishe.
 
Minja mchaga
 
Uwongo, mbona yupo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…