Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Habari za Jumapili wanandugu,
Niende kwenye swali hapo juu. Miaka ya nyuma ama takribani miaka kumi imepita sasa, alikuwepo msanii wa nyimbo za injili Beatrice Muhone.Alikuwa na nyimbo nzuri kweli ukiwepo mmoja uitwao Lango la Mbinguni.
Sijamsikia tena kwa muda mrefu katika uimbaji na uinjilishaji na sijapata tena taarifa yoyote kumuhusu mwanamama huyu. Kwenye matamasha ya pasaka pia nimekuwa nikitega sikio sikumsikia.
Mwenye kujua yupo wapi na anafanya nini na kwanini kaacha uimbaji wa nyimbo za Mungu atujuze.
Nawatakia Jumapili njema.