Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Daaaaaaaaaahhhh, shetani bwana!!!Tetesi miaka chache ilopita nilisikia mahali. Yule dada ni mrembo na anamume ndie aliemwezesha kwa kila kitu. Huyo mme nae pia ni mwimbaji.... Tajiri moja toka mererani palipo na machimbo ya tanzanite, alimpenda sana huyu mdada kwa jinsi anavoimba. Akafanya mikakati atakavompata kwa garama yoyote. Aliingia kwakupitia mdada alie rafiki wa karibu sana wa bite, alimpa hongo mil 2 ili amfanyie mpango anyooshe njia. Huyo dada alifanya km alivotumwa hadi akafanikiwa. Bite akamkubali huyo tajiri, na ndoa yake ikaingia mgogoro mkubwa sana, na jina lake kuchafuka hivyo hakuweza kurudia tena uimbaji....... Hii ni tetesi tu ya miaka chache ilopita, hivo halina uwazi zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nami niliwah kuckia km ww PierreeppahTetesi miaka chache ilopita nilisikia mahali. Yule dada ni mrembo na anamume ndie aliemwezesha kwa kila kitu. Huyo mme nae pia ni mwimbaji.... Tajiri moja toka mererani palipo na machimbo ya tanzanite, alimpenda sana huyu mdada kwa jinsi anavoimba. Akafanya mikakati atakavompata kwa garama yoyote. Aliingia kwakupitia mdada alie rafiki wa karibu sana wa bite, alimpa hongo mil 2 ili amfanyie mpango anyooshe njia. Huyo dada alifanya km alivotumwa hadi akafanikiwa. Bite akamkubali huyo tajiri, na ndoa yake ikaingia mgogoro mkubwa sana, na jina lake kuchafuka hivyo hakuweza kurudia tena uimbaji....... Hii ni tetesi tu ya miaka chache ilopita, hivo halina uwazi zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii tetesi niliwai isikia ila si kwa namna hiyo....inasemekana alikuwa akitoka na Wachungaji..Tetesi miaka chache ilopita nilisikia mahali. Yule dada ni mrembo na anamume ndie aliemwezesha kwa kila kitu. Huyo mme nae pia ni mwimbaji.... Tajiri moja toka mererani palipo na machimbo ya tanzanite, alimpenda sana huyu mdada kwa jinsi anavoimba. Akafanya mikakati atakavompata kwa garama yoyote. Aliingia kwakupitia mdada alie rafiki wa karibu sana wa bite, alimpa hongo mil 2 ili amfanyie mpango anyooshe njia. Huyo dada alifanya km alivotumwa hadi akafanikiwa. Bite akamkubali huyo tajiri, na ndoa yake ikaingia mgogoro mkubwa sana, na jina lake kuchafuka hivyo hakuweza kurudia tena uimbaji....... Hii ni tetesi tu ya miaka chache ilopita, hivo halina uwazi zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo mengine shetani anasingiziwa.Daaaaaaaaaahhhh, shetani bwana!!!
Na tetesi nyingine nilisomaga humu humu jf zikisema,yule bidada nyodo na dharau ndio vimempoteza,katika ile albam ya ingoje ahadi alimkandia UPENDO K wakati nyimbo walifanya kwa ushirikiano.Tetesi miaka chache ilopita nilisikia mahali. Yule dada ni mrembo na anamume ndie aliemwezesha kwa kila kitu. Huyo mme nae pia ni mwimbaji.... Tajiri moja toka mererani palipo na machimbo ya tanzanite, alimpenda sana huyu mdada kwa jinsi anavoimba. Akafanya mikakati atakavompata kwa garama yoyote. Aliingia kwakupitia mdada alie rafiki wa karibu sana wa bite, alimpa hongo mil 2 ili amfanyie mpango anyooshe njia. Huyo dada alifanya km alivotumwa hadi akafanikiwa. Bite akamkubali huyo tajiri, na ndoa yake ikaingia mgogoro mkubwa sana, na jina lake kuchafuka hivyo hakuweza kurudia tena uimbaji....... Hii ni tetesi tu ya miaka chache ilopita, hivo halina uwazi zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenye picha yake atupie humuTatizo nae alikua mrembo sana..
Ni kweli Beatrice ilikuwa chakula ya huyo jamaa wa Mererani na wengine wengi tuTetesi miaka chache ilopita nilisikia mahali. Yule dada ni mrembo na anamume ndie aliemwezesha kwa kila kitu. Huyo mme nae pia ni mwimbaji.... Tajiri moja toka mererani palipo na machimbo ya tanzanite, alimpenda sana huyu mdada kwa jinsi anavoimba. Akafanya mikakati atakavompata kwa garama yoyote. Aliingia kwakupitia mdada alie rafiki wa karibu sana wa bite, alimpa hongo mil 2 ili amfanyie mpango anyooshe njia. Huyo dada alifanya km alivotumwa hadi akafanikiwa. Bite akamkubali huyo tajiri, na ndoa yake ikaingia mgogoro mkubwa sana, na jina lake kuchafuka hivyo hakuweza kurudia tena uimbaji....... Hii ni tetesi tu ya miaka chache ilopita, hivo halina uwazi zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa... Subiri wataweka.Mwenye picha yake atupie humu
Tetesi miaka chache ilopita nilisikia mahali. Yule dada ni mrembo na anamume ndie aliemwezesha kwa kila kitu. Huyo mme nae pia ni mwimbaji.... Tajiri moja toka mererani palipo na machimbo ya tanzanite, alimpenda sana huyu mdada kwa jinsi anavoimba. Akafanya mikakati atakavompata kwa garama yoyote. Aliingia kwakupitia mdada alie rafiki wa karibu sana wa bite, alimpa hongo mil 2 ili amfanyie mpango anyooshe njia. Huyo dada alifanya km alivotumwa hadi akafanikiwa. Bite akamkubali huyo tajiri, na ndoa yake ikaingia mgogoro mkubwa sana, na jina lake kuchafuka hivyo hakuweza kurudia tena uimbaji....... Hii ni tetesi tu ya miaka chache ilopita, hivo halina uwazi zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
She is hot!![emoji41]
Kweli JF ni hazina na maktaba isiyomithilika, kila kitu unapata, asante sana ndugu.