Yupo wapi mwimbaji wa nyimbo za Injili Beatrice Muhone?

mie nahakika kilichombeba ni urembo wake ! hana kipaji cha kuimba wala kutunga ! mtu mwenye kipaji cha kuimba ni nkone na rose(sauti zao ukizisikia unajua hawa wana vipaji) !sijui nisemeje nielewek !abda niseme alikua anaimba flat saaaaaaaaanaaaa! thts y alianguka mara moja na nilijua tu ataanguka !

chukua cd za waimba acappela wa nyimbo za injili angalia wanavyoziimba utajua hawa wana kipaji na ufananishe na huyu beatrice ! mayb angeenda kujifua kwanzaz zaidi !
 
Kweli shetani anaangaika na wateule wa Mungu
 
Kipindi kile nimebobea sana kwenye punyeto nikipiga punyeto nikiona vitu haviji upesi nachoka tu, nilikuwa naweka video zake,ile sauti yake tamu na macho yake vilikuwa vinafanya vitu vimwagike ndani Ya dakika chache tu
 
Ni mzuri zaidi akitoa hayo manywele yaani akiwa natural na kwa wanaomjua wakati akiimba kwaya flani ya arusha (jina limenitoka) watakubaliana nami...

Ana sauti nzuri sana huyu Dada hasa katika nyimbo za taratibu kama habari njema iliyopo katika tenzi za roho. Sauti yake inaupasha moyo hakika ,mengineyo ni mapito tu na kama alijitolea kuhubiri kwa njia ya nyimbo bhasi IPO siku atairudia dhamira ya awali
 
Kipindi kile nimebobea sana kwenye punyeto nikipiga punyeto nikiona vitu haviji upesi nachoka tu, nilikuwa naweka video zake,ile sauti yake tamu na macho yake vilikuwa vinafanya vitu vimwagike ndani Ya dakika chache tu
Mzee wa chaputa..... Afadhali umeshaacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…