Yupo wapi mzee Makamba?

Li ngunda ngali

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2023
Posts
707
Reaction score
2,572
Siyo kawaida yake kuwa kimya namna hiyo hasa kwenye nyakati za SINTOFAHAMU kubwa nchini kama wakati huu wa suala la BANDARI.

Lakini, mzee Makamba ni kiongozi mstaafu ni wajibu wa Wananchi kufahamu alipo na anaendeleaje.

Wengi wetu tulitarajia waandishi wa habari kama ilivyo ada wangeshamfuata mzee wetu kwenda kutaka maoni yake.

Kwa ukimya huu usio wa kawaida, je, yupo wapi Makamba?!

NB: Usifurahie kifo cha binadamu mwenzako.
 
Atakua alisemwa sana na baadhi ya watu wake wa karibu, baada ya kutoa kauli tata, ambazo zilitafsiriwa kwa mrazamo labda tofauti na aliokusudia. Ni vyema akae kimya hivyohivyo, alee wajukuu. Asipende kua front, atulie kama akina Phillip Mangula, hasahasa ukizingatia hunena kauli tata.
 
Bila kusahau mbatia mama Tzn
 
Yule mzee Nakamba a.k.a Ze Komedi w kisiasa kwa nyakati hizi hakuna mtu anayetaka kuwa karibu naye kisiasa.
Bomu alilotoa kuwa wazuri hawafi ni tosha kumipaga pini.
 
Huyo ni shetani afadhali aendelee kupumzika. Asije akatoa tena sauti ya kishetani kuwa WAZURI HAWAFI.
 
Tangu lle kauli yaje ya dhihaka kwa JPM hajasikika tena
 
Alipo Mzee huyo, aulizwe mkewe.

Turudi kujadili bandari yetu🙏🙏🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…