Alienda msalani kukata gogo so mvumilieni majibu yatakuja.mbona mtu mwenyewe hata hajibu
umeniwahi kaka na mm nlitaka kuuliza ivo ivo
Kwa kuanza kabisa John Mahundi anaishi Marekani ila mwaka Jana baba yake alivyofariki akaja tu kwenye msiba wa baba yake IGP mstaafu Mahundi ila nanukuu: nna alergy na hali ya hewa ya Tanzania so maisha yangu yataendelea Kuwa Marekani, 2. Caz T a.k.a x boy wa Dokii siku hizi ni mfanyabiashara Ana lodge yake pande za ukonga Mombasa jirani na makaburi ya Babu njenje yenyewe inaitwa Angwisa lodge, 3. Hali kadhalika ngoni tribe nao wameamua Kuwa wajasiriamali wazuri tu..isipokuwa katika lile kundi wanaopatikana kwa urahisi ni Justine na Ally of course wana saloon yao ya kiume pande za Ukonga mombasa so wana JF mnaweza kwenda kuwaungisha cku moja moja sio mbaya..nawasilisha.uswahilini matolajah kimbutewale jamaa walioimba wanawake wazuriwazuri wameolewa wamebaki manungayembe....yule jamaa aliyekuwa mume wa dokii dolabalozi dollajohn mahundi
Wako wapi Hawa.
Oliver Ngoma
Monique Seka
Mbilia Beli
Tshalla Muana
T-shirt na Jeans.. Unv-coner wapo wapi?
Man x Yuko wapi sikuhizi?? Asikiki tena yupo kimya sana, kuna m2 alisema kafariki sasa sijajua kama kuna ukweli ndani yake?
Man x Yuko wapi sikuhizi?? Asikiki tena yupo kimya sana, kuna m2 alisema kafariki sasa sijajua kama kuna ukweli ndani yake?
Saida Kalori yuko wap na anafanya nini?
Yupo rock city anapiga muziki wake wa asili kama kawaida,safari hii hana meneja kwani ukiumwa na nyoka.....
umeniwahi kaka na mm nlitaka kuuliza ivo ivo