Yupo wapi na anafanya nini?

Yupo wapi na anafanya nini?

Maswali tu sion anaejibu...duh!

alfredKOHI
+25576480989
 
Wako wapi Hawa.

Oliver Ngoma

Monique Seka

Mbilia Beli

Tshalla Muana
 
uswahilini matolajah kimbutewale jamaa walioimba wanawake wazuriwazuri wameolewa wamebaki manungayembe....yule jamaa aliyekuwa mume wa dokii dolabalozi dollajohn mahundi
Kwa kuanza kabisa John Mahundi anaishi Marekani ila mwaka Jana baba yake alivyofariki akaja tu kwenye msiba wa baba yake IGP mstaafu Mahundi ila nanukuu: nna alergy na hali ya hewa ya Tanzania so maisha yangu yataendelea Kuwa Marekani, 2. Caz T a.k.a x boy wa Dokii siku hizi ni mfanyabiashara Ana lodge yake pande za ukonga Mombasa jirani na makaburi ya Babu njenje yenyewe inaitwa Angwisa lodge, 3. Hali kadhalika ngoni tribe nao wameamua Kuwa wajasiriamali wazuri tu..isipokuwa katika lile kundi wanaopatikana kwa urahisi ni Justine na Ally of course wana saloon yao ya kiume pande za Ukonga mombasa so wana JF mnaweza kwenda kuwaungisha cku moja moja sio mbaya..nawasilisha.
 
Man x Yuko wapi sikuhizi?? Asikiki tena yupo kimya sana, kuna m2 alisema kafariki sasa sijajua kama kuna ukweli ndani yake?
 
Vipi aljabry sele? Nilikakaririje nyimbo zake..mwanzo mwisho..

Na pia yule kaka nimemsahau jina aliimba ule wimbo wa hello wa lionel richie wakati huo akiwa USA
 
Man x Yuko wapi sikuhizi?? Asikiki tena yupo kimya sana, kuna m2 alisema kafariki sasa sijajua kama kuna ukweli ndani yake?

Huyu jamaa yupo Keko na anafanya biashara ya kuuza masofa


Sent from my iPhone 4S using JamiiForums
 
Kuna jamaa aliimba "Kupiga debe kwangu ilikuwa powa, kwa radhi ya wazazi kijijini nikaoa...." alimshirikisha Q chief..yupo wapi yule mkali, daaah ilikuwa bonge la ngoma lile aisee.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
ukinipa jibu la star huyu nitakuPM voda ya 5000/= nauliza yuko wa Star wa movie ya Shamba Kubwa.
 
Back
Top Bottom