Yupo wapi Nargis Mohamed?

Hivi haya mazali ya mentali yanawatokeaga kina nani ? Tokea nizaliwe sijashuhudia ata jirani tu akila shavu kama la Prof J na Vicky
 
Yuko CRDB aliolewa na ana mtoto mmoja sasa... pia anahusika katika kuwavalisha wadada wa mjini na duka la [COLOR=#ff0000]fashionista[/COLOR]

Dada kumbe nawe ni mkurupukaji?

hapo mwanzo upo sahihi kabisa, Nargis Mohd yupo CRDB Makao Makuu (MIKOCHENI) huko fshoonista ni mtu wa kawaida wala sio mmiliki wa lile duka kama wengi mnavodhani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…