Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dan! Mdada mzuri huyu hadi raha
Watu wa uswahili wakasema natumia kizizi.
Kumbe kuna wazaramo wazuri vile, aisee.Mzaramo yule
Huyu aliyeweka hii video ameifanya cku yangu kuwa poa sana
Moses ndio jina la filamu au ni jina alilotumia tu?KUNA MOVIE MOJA YA KANUMBA INAITWA MOSES, WAPI NAWEZA IPATA
Yuko CRDB aliolewa na ana mtoto mmoja sasa... pia anahusika katika kuwavalisha wadada wa mjini na duka la [COLOR=#ff0000]fashionista[/COLOR]
Umeipenda?Aaaaah ona sasa umenilazimisha kuangalia movie njima na kuamsha mananiii
Na we pia ni mkurupukaji,CRDB makao makuu ni mikocheni ?Dada kumbe nawe ni mkurupukaji?
hapo mwanzo upo sahihi kabisa, Nargis Mohd yupo CRDB Makao Makuu (MIKOCHENI) huko fshoonista ni mtu wa kawaida wala sio mmiliki wa lile duka kama wengi mnavodhani.
Hahahahahahahah nimecheka kwa sauti [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hivi haya mazali ya mentali yanawatokeaga kina nani ? Tokea nizaliwe sijashuhudia ata jirani tu akila shavu kama la Prof J na Vicky
Cheka tu ndugu yangu mimi najiuliza sana hayo mazali yanawatokea kina nani ?Hahahahahahahah nimecheka kwa sauti [emoji1] [emoji1] [emoji1]
huyu dada anajua kuvaa uhusika vyema kwenye movie naikumbuka ile ya ray ( a woman of principle )
Na we pia ni mkurupukaji,CRDB makao makuu ni mikocheni ?