Mikocheni tawi lipoCRDB wana tawi Mikocheni?
makao makuu ya crdb imehamia huko?
Nmesubiri text yako hadi basiiCRDB wana tawi Mikocheni?
makao makuu ya crdb imehamia huko?
CRDB ipo bana Mikocheni kama unaenda kwenye hizi nyumba za mawaziri ,au sijui kama ndio HQNmesubiri text yako hadi basii
Kwani makao yake makuu yapo wapi mkuu?CRDB wana tawi Mikocheni?
makao makuu ya crdb imehamia huko?
Posta pale kwny azikiwe branch lile ghorofa pale wamejaaKwani makao yake makuu yapo wapi mkuu?
Pale najua ni branch tu,otherwise wanaojua zaidi watasemaCRDB ipo bana Mikocheni kama unaenda kwenye hizi nyumba za mawaziri ,au sijui kama ndio HQ
Napajua hapo, nikadhani labda wamehamisha ofisi.Posta pale kwny azikiwe branch lile ghorofa pale wamejaa
Hivi haya mazali ya mentali yanawatokeaga kina nani ? Tokea nizaliwe sijashuhudia ata jirani tu akila shavu kama la Prof J na Vicky
MUDA HUU ATAKUWA AMETOKA KUPIGWA KIMOJA, THEN NYIE MNA MJADILI HUKU
Mkuu sijui kama umenielewa ,Zali naloliongelea hapa ni kama la Prof J na Vicky ,kwamba mtoto wa kishua ampende kajamba nani ,na baba mkwe ampe nyumba ,benz na Bmw,Ukiyafata mazari ya ivo unaweza kuishia kua punga au bwabwa
Watu wa uswahilini watasema unatumia kizizi.Mkuu sijui kama umenielewa ,Zali naloliongelea hapa ni kama la Prof J na Vicky ,kwamba mtoto wa kishua ampende kajamba nani ,na baba mkwe ampe nyumba ,benz na Bmw,
Siongelei zali la vijana kuweka kinyumba na wamama watu wazima wenye mihela yao ama pengine wake za watu
Hii kauli haiwatendei haki baadhi ya bongo movies stars.Kumbe mambo safi ndio maana haonekani bongo movie.
Wanashindana kunywa maji tu.Hii kauli haiwatendei haki baadhi ya bongo movies stars.
Ila jamaa ni innovative sana inaweza kuwa kaongea experience ya kweli maana mtu wa kawaida huwez toa kauli kama ile bila uzoefu.Wanashindana kunywa maji tu.
Nani huyo kaongea experience?Ila jamaa ni innovative sana inaweza kuwa kaongea experience ya kweli maana mtu wa kawaida huwez toa kauli kama ile bila uzoefu.
Aliyesema maji yanaleta weupe.Nani huyo kaongea experience?
Hahaha, huenda, maana alikuwa cheusi ila sasa mzungu.Aliyesema maji yanaleta weupe.
Mkuu vipi ulikuwa unaimba naye kwaya nini?Mnanikumbusha mbali sana na huyu mtoto.
Hahaha, kaimba kwaya wapi?Mkuu vipi ulikuwa unaimba naye kwaya nini?