Yupo wapi Nargis Mohamed?

Yupo wapi Nargis Mohamed?

Ukiyafata mazari ya ivo unaweza kuishia kua punga au bwabwa
Mkuu sijui kama umenielewa ,Zali naloliongelea hapa ni kama la Prof J na Vicky ,kwamba mtoto wa kishua ampende kajamba nani ,na baba mkwe ampe nyumba ,benz na Bmw,

Siongelei zali la vijana kuweka kinyumba na wamama watu wazima wenye mihela yao ama pengine wake za watu
 
Watu wa uswahilini watasema unatumia kizizi.
 
Back
Top Bottom