Number ni 26
JF-Expert Member
- Apr 3, 2019
- 1,573
- 3,088
Mitaa inakuaminia sana mwana unajua kuchana. Siku hizi watoto wadogo wanaleta dharau sana! Ngonjera zimekuwa nyingi, wanapewa tu "airtime". Fanya kweli muhuni urudi kwenye "mainstream".
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh dishi liko uelekeo sahihi mkuuMafisadi wamejaa ccm na Lumumba ndiyo nyumbani kwao;
Hiyo ni moja Kati ya mistari ya nyandu kwenye Ngoma yake;Duuh dishi liko uelekeo sahihi mkuu
Duuh samahan mkuu niliwaza mbaliHiyo ni moja Kati ya mistari ya nyandu kwenye Ngoma yake
Ndo nini hii26 Namba
Haijui huyo mkuu mpe maelekezo kidogoHiyo ni moja Kati ya mistari ya nyandu kwenye Ngoma yake;
Mkuu, sio kweli mwana hauzi ngada. Sema life lake na itikadi linafanya watu wahisi hivyokaacha kuuza ngada?.
Mimba tu ukishoboka na hatulei utalea mwenyewMitaa inakuaminia sana mwana unajua kuchana. Siku hizi watoto wadogo wanaleta dharau sana! Ngonjera zimekuwa nyingi, wanapewa tu "airtime". Fanya kweli muhuni urudi kwenye "mainstream". View attachment 2578364
HamiduMitaa inakuaminia sana mwana unajua kuchana. Siku hizi watoto wadogo wanaleta dharau sana! Ngonjera zimekuwa nyingi, wanapewa tu "airtime". Fanya kweli muhuni urudi kwenye "mainstream". View attachment 2578364
Una uhakika.....Mkuu, sio kweli mwana hauzi ngada. Sema life lake na itikadi linafanya watu wahisi hivyo