kuchangumu
JF-Expert Member
- Apr 2, 2014
- 724
- 290
Clouds..wameharibu sana mziki...waliamua kuwaporomosha wakongwe wotee kwa kuwanyima airtime mdogo mdogo kisa kutokubali kunyonywa kwa kulipwa viwango vidogo vya hela kwenye matamasha...mwisho wa siku wasanii wengi wakawa hawasikiki kabisa kwenye game...na kupoteza idad ya matamasha ya kuperfom na kama unavyojua vijana wengi wa kipind kile walikua hawana shule asilimia kubwa walikua wameishia form four...sasa mziki ndio ilikua ajira yao...bt baada ya wenzetu wa clouds kuchafua hali ya hewa na kuwapa promo watoto ambao wao clouz iliona wanatii amri zao bas wakapata airtime kubwa na ndio ukawa mwisho wa watu kama kina O ten na wengineo...wengi tu ambao ukikutana nao leo hii mtaani unaweza dondokwa na machozi kwa jins wanavyoishi maisha magumu...
Mkuu hapo nimekuelewa kwa hiyo chinja chinja ya wakongwe kwenye muziki wa bongo ni clouds fm
Ila jamaa ni wanafiki kama ccm sasa matokeo yake tumebaki na ladha zilezile kila siku kwenye muziki
Ruge na wenzake watalaaniwa maisha yao yote
Wapi manzese crew,wagosi waka,afande sele,malaw,qchief,mabinti wa kitanga,dudubaya,squeezer,mabovu,na wengine?
Nasikia anachoma chips pande za Mwenge
mwenge stend kuna duka moja huwa anakuwepo. Sijui nae muuzaji au lah
Tatizo alitaka kujenga umaarufu kwa bifu na Afande Sele, bila kujua ndio anajimaliza.!
zimebaki story...dogo alikuwa na maneno ya kunya mno!