Yupo wapi PHILIPO VYANDINDI (OTEN)wa east cost team?

Yupo wapi PHILIPO VYANDINDI (OTEN)wa east cost team?

kuchangumu

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2014
Posts
724
Reaction score
290
Huyu dogo alikuwa mkali sana kwenye medani nakumbuka nyimbi zake kama nicheki,mimi,nk yupo wapi huyu mtu mbona kimya?au alishakufa atujatangaziwa au kaacha mziki kwa anayejuwa alipo huyu mtu atufahamishe hapa alikuwa mkali au wazamani ndio basi kwenye mziki?
 
Yupo ila nadhan muziki umemshinda nakumbuka huo wimbo wa nicheki enzi hizo kwenye ile movie ya gilfriend!
 
Tatizo alitaka kujenga umaarufu kwa bifu na Afande Sele, bila kujua ndio anajimaliza.!
 
Duh,Nakumbuka mbali sana,enzi hizo nikiwa katika umri ule wa kujaribu kila kitu. Daha maisha yanakwenda kasi sana.
Sasa jeans sivai tena,raba wala american boots,wala siibi gari la mzee,siendi disco,,,hivi sasa full kitambaa,tai shingoni,,mwendo wa alberto celin vitu vya muitaliano...
Nawakumbuka sana jamaa zangu Kantalamba boys. Duh east coast team,,,wapi Gk???????
 
Clouds..wameharibu sana mziki...waliamua kuwaporomosha wakongwe wotee kwa kuwanyima airtime mdogo mdogo kisa kutokubali kunyonywa kwa kulipwa viwango vidogo vya hela kwenye matamasha...mwisho wa siku wasanii wengi wakawa hawasikiki kabisa kwenye game...na kupoteza idad ya matamasha ya kuperfom na kama unavyojua vijana wengi wa kipind kile walikua hawana shule asilimia kubwa walikua wameishia form four...sasa mziki ndio ilikua ajira yao...bt baada ya wenzetu wa clouds kuchafua hali ya hewa na kuwapa promo watoto ambao wao clouz iliona wanatii amri zao bas wakapata airtime kubwa na ndio ukawa mwisho wa watu kama kina O ten na wengineo...wengi tu ambao ukikutana nao leo hii mtaani unaweza dondokwa na machozi kwa jins wanavyoishi maisha magumu...
 
Nasikia anachoma chips pande za Mwenge
 
Mkuu hapo nimekuelewa kwa hiyo chinja chinja ya wakongwe kwenye muziki wa bongo ni clouds fm
Ila jamaa ni wanafiki kama ccm sasa matokeo yake tumebaki na ladha zilezile kila siku kwenye muziki
Ruge na wenzake watalaaniwa maisha yao yote
Wapi manzese crew,wagosi waka,afande sele,malaw,qchief,mabinti wa kitanga,dudubaya,squeezer,mabovu,na wengine?
 
wasanii ni wabinafsi sana, wangeungana na kuwa na umoja thabiti wangekuwa mbali sana, sasa hivi wanazingua tu
 
Ukitaka kujua Clouds wamewavurugia sana wanamuziki wakongwe fanya Statistics...Mziki wa bongo flava kabla ya Clouds kushika publicity na baada ya Clouds..then ndio utaona tofauti kwanini wasanii waliokuwepo kabla ya Clouds...saivi wengi wapo Dipressed na maisha kutokana na ajira yao kupotezwa na Clouds Walioingia kwenye game kwa maslahi binafsi ya watu wachache ambao wao sio wanamuzki..bt kupitia mashow yao ya fiesta...

Lakin pia angalia aina ya wanamuziki ambao clouds inawapenda au kuwapa promo na airtime ya kutosha kwa kucheza nyimbo zao..utagundua ni kina nank na utagundua kama kuna mkongwe anasapotiwa na clouds basi hawafiki watano.
 
Nilikuwa namuona maeneo ya Yombo Vituka kule anafuatafuata watu kama nzi apate bia sijui nowdays yuko wapi.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom