mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Saida alikuwa Boya kumbuka alimtoa kijijini na kumleta mjini gafla...
Alikuwa hajui chochote
Alikuwa hajui chochote
Huyu jamaa naskia alimsainisha mkataba wa ulaghai Saida, kama alivo fanya Karl Peters kwa chief Mangungo, yaani naskia ni "bogus treaty" kabsaa
Saida kaja kustuka mambo yalisha haribika, Saida kwenye kazi zake kwa sasa hata sh. Kumi hapati.
*Sijui Saida alileta mapenzi kwenye kazi. Sijui ligha ilikuwa haipandi!!! Kwa kweli inauma