Yupo wapi promota maarufu Felician Muta (FM)?

Saida alikuwa Boya kumbuka alimtoa kijijini na kumleta mjini gafla...
Alikuwa hajui chochote
 
Saida alikuwa Boya kumbuka alimtoa kijijini na kumleta mjini gafla...
Alikuwa hajui chochote
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ba baada ya matumizi yake kuisha aka mrudisha kijijini.
Halafu jamaa huwa linajivunia lina sema ile ni jasho lake eti
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ba baada ya matumizi yake kuisha aka mrudisha kijijini.
Halafu jamaa huwa linajivunia lina sema ile ni jasho lake eti
Alimuamini SANA fm....alikuwa hajui punish mikataba wala nini alikuwa mweupe lazime apigwe tuu.....wasanii hawa wametoka mbali SANA aise
 
Alimuamini SANA fm....alikuwa hajui punish mikataba wala nini alikuwa mweupe lazime apigwe tuu.....wasanii hawa wametoka mbali SANA aise
Daaah
Ndio bas tena , na jamaa bado ana piga hela tuu, yapasa awe ana mpa hata kidogo, ile ki ubinadamu
 
Daaah
Ndio bas tena , na jamaa bado ana piga hela tuu, yapasa awe ana mpa hata kidogo, ile ki ubinadamu
Afya yake yenyewe syo kivile mzee muta sjui anasumbuliwa na kisukari au
Ila tu wasanii ni kutojielewaaaa Ila kwa saida ilikuwa lazima apigwe maana alikuwa mweupeeee......
Wasanii wametoka mbali Wakina sugu walikuwa wanaimba wanagombania mike......WANAKUJA KULIKUWA NA MASKANI MOJA INAUTWA INDIANAPOLIS ILIKUWA BLOCK 41 WALIWASAIDIA SANA WASANAIII YAANI WALIKUWA KAMA MAPROMOTA
SUGU UTAMUONA NA DOLA SOUL WANAKUJA KUOMBA TAFF .....LAKINI LEO HII WATU WAMETUMIA NAFASI

Ova
 
Daaah
Mkuu inaonekana historia ya music uko fit
Ntakutafuta kwa muda wangu

*ntamleta hata Saida umpe ilm kidogo [emoji1]
 
Daaah
Mkuu inaonekana historia ya music uko fit
Ntakutafuta kwa muda wangu

*ntamleta hata Saida umpe ilm kidogo [emoji1]
Hahaha.....zamani pool side wasanii wana perform jukwani bila malipo.....kushika mike ndiyo malipo yako........ Nawakumbuka KU CREW,mac muga,wagumu weusi asilia,diplomatz,ilikuwa burdani.....
 
Hahaha.....zamani pool side wasanii wana perform jukwani bila malipo.....kushika mike ndiyo malipo yako........ Nawakumbuka KU CREW,mac muga,wagumu weusi asilia,diplomatz,ilikuwa burdani.....
Mac Muga,alikuwa ni msanii?
 
Basi mkuu mwambie bi saida aanze kufanya resistance na struggles for independence
 
Basi mkuu mwambie bi saida aanze kufanya resistance na struggles for independence
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We ulikuwa mwanafunzi safi
Sasa afanye
Passive resistance
Au active resistance!!?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We ulikuwa mwanafunzi safi
Sasa afanye
Passive resistance
Au active resistance!!?

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Iliyoko ndani ya uwezo wake ila kwa hali ilivyofikia active resistance ndio inahusika haswaa

Lakini aangalie akizidiwa asijekujifanya kama yule jamaa yetu shujaa wa wala dog kwa mujibu wa brainwash ya wenye pua ndefu
 
Hahahaaaaa
Ushuri wako ntaupeleka kama ulivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…