Yupo wapi ROHO 7

xavihernandezalcantara

Senior Member
Joined
Nov 17, 2020
Posts
124
Reaction score
132
Ndugu zangu poleni na majukumu,Poleni na Msiba wa Taifa hili.

Naomba niwapeleke kwenye burudani kidogo hasa mziki wa Hip-Hop.

Kuna jamaa aliimba nyimbo flani ambazo nikizisikiliza najisemea jamaa yupo wapi? Na vipi mziki kaacha au?

Namzungumzia Roho 7 Mnamkumbuka? Kuna hits zake mbili kwangu ni kama kifungua kinywa. Kuna ngoma inaitwa NAKUPENDA HIP HOP.

Humo Roho 7 Anaeleza jinsi anavyoipenda Hip hop anaeleza jinsi baadhi wanavyoisaliti Hip hop baada ya kutoboa kimuziki wakati Hip hop ndio iliyowatambulisha.

Roho 7 Ana flow nzuri,kali na tamu, Ngoma nyingine inaitwa WAITE POLISI, Anachana sana kuhusu pisi moja kali ambayo inakila sifa.

Tunamkumbuka au? Na kuna mtu yeyote anaefahamu ngoma zake kali nyingine? Hii ndio point katika uzi huu.
 
🅟︎🅘︎🅒︎🅗︎🅐︎ 🅚︎🅦︎🅐︎ 🅐︎🅜︎🅑︎🅐︎🅞︎ 🅗︎🅐︎🅣︎🅤︎🅚︎🅤︎🅑︎🅐︎🅗︎🅐︎🅣︎🅘︎🅚︎🅐︎ 🅚︎🅤︎🅜︎🅤︎🅞︎🅝︎🅐︎ 🅗︎🅐︎🅟︎🅞︎ 🅐︎🅦︎🅐︎🅛︎🅘︎
 
 
Inamaana jamaa alitoa nyimbo mbili tu? Natamani kama kuna nyingine kali wadau waziseme. Jamaa namkubali kwa hizo mbili tu. Anachana sana na maneno anayotumia ni hatari no matusi[emoji119]
Chimbo alikuwa anachana sana tu na kuandika sema hakurekodi tena. Nadhani unafahamu ni kwanini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…