Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 4,208
- 14,143
Huyu ndio mume wa Farida yule wa tetemesha record?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo masota alikuwa komando kabisa kama sikosei na nyota mbiliPia kuna watu kama kina masota kwa sasa marehemu aliimba baada ya kuingia chomboni akaacha kama roho 7, wapo pia kina magazijuto nadhani yupo tanesko na jamaa kibao tu kina balozi n.k
Ujakosea kabisa alikuwa Lt.Huyo masota alikuwa komando kabisa kama sikosei na nyota mbili
Pia alikuwa tisa mb***Huyo masota alikuwa komando kabisa kama sikosei na nyota mbili
Golden chance never come twice ndicho kitu ambacho mwamba alikitumia kama yupo humu mara ya mwisho nilimeet nae T.AAliona bora aende jeshini akukacha music kwa heat mbili tu
Sasa mkuu jamaa kasema ni Lt. Col au Col ebu rejea kule kisha linganisha jibu lako na lake. Mimi nilisema hajafika huko.mkuu utakua unafahamu basi, jamaa unakuambia ukweli unabisha nini, roho 7 ni luten kanal na kamuoa yule demu wake alieimba nae farida nahisi baridi wana two kids sasa.
roho 7 kawahi kuimba na demu yoyote kweny ngoma zake!???mkuu utakua unafahamu basi, jamaa unakuambia ukweli unabisha nini, roho 7 ni luten kanal na kamuoa yule demu wake alieimba nae farida nahisi baridi wana two kids sasa.
roho 7 kawahi kuimba na demu yoyote kweny ngoma zake!???
Hapana, Ni Captain. MP Commander kule Arusha SMVYupo jeshini, ni luteni(nyota mbili)
nmeulza, ulitakiwa ujibu ndio au hapana. Unamjua Amba? ambaye ndiye producer wa nyimbo za Roho 7Unaijua chorus ya WAITE POLISI.??
Umeimba wewe.??
Mi nimebishiwa humu nikaona nikae kimya tu toka kapata kamisheni kufika hicho cheo walichodai bado tena mtu anakubishia kabisa na kusema humjui wakati huo aelewi chochoteHapana, Ni Captain. MP Commander kule Arusha SMV
Kuna jamaa kadai ni Col.Hapana, Ni Captain. MP Commander kule Arusha SMV
Hahaha uongo mkuuKuna jamaa kadai ni Col.
Achana nao mkuu, watu wengine huwa wanabisha Mambo tu hata kama hawajuiMi nimebishiwa humu nikaona nikae kimya tu toka kapata kamisheni kufika hicho cheo walichodai bado tena mtu anakubishia kabisa na kusema humjui wakati huo aelewi chochote
Col..nini kirefu chake mzee.Kuna jamaa kadai ni Col.
nmeulza, ulitakiwa ujibu ndio au hapana. Unamjua Amba? ambaye ndiye producer wa nyimbo za Roho 7
Jamaa Ni mkali sana wa sound effects sikiliza ngoma ya Yaki inaitwa Tonight halafu uniambie kamshirikisha demu gani.
Siku zote nlikuwa najua Ni sound effects Ile chorus ya Waite police.m