rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 5,749
- 7,038
ya tatu inaitwa 'Stay focus'Inamaana jamaa alitoa nyimbo mbili tu? Natamani kama kuna nyingine kali wadau waziseme. Jamaa namkubali kwa hizo mbili tu. Anachana sana na maneno anayotumia ni hatari no matusi[emoji119]
Asante saana mkuu,jamaa ana flow kali kinoma...ya tatu inaitwa 'Stay focus'
Itafute nayo Ina mistari yamoto
Kwasasa playlist yangu ni kwaya tuTafuta hizo ngoma mbili ni hatari
yuko real sanaAsante saana mkuu,jamaa ana flow kali kinoma...
Joel Lwaga_Sitabaki kama nilivyoKwasasa playlist yangu ni kwaya tu
Hatari sana. kuna kitu katunyima sisi wa Hip hop lkn hamna namnaayuko real sana
Nitajaribu!Joel Lwaga_Sitabaki kama nilivyo
isikose kwenye playlist hiyo
naam, majukum mengine yamembana hawezi tena kurud ulingoniHatari sana. kuna kitu katunyima sisi wa Hip hop lkn hamna namnaa
sawa ndugunaam, majukum mengine yamembana hawezi tena kurud ulingoni
ya tatu inaitwa 'Stay focus'
Itafute nayo Ina mistari yamoto
Hatari sana na kuna moja pia inaitwa UTANIKUMBUKA..Stay Focus, bonge moja la mkwaju.
Huu mwamba RTS Ulitupa sana ladha..Stay Focus, bonge moja la mkwaju.
Umenikumbusha mbali sanaaaya tatu inaitwa 'Stay focus'
Itafute nayo Ina mistari yamoto
[emoji16][emoji16][emoji16] kuna line za hatariii... Aminia kabisaaa [emoji2935]Huu mziki mi naudai na leo naukopesha tena na sijachukua chenji ya jana - ROHO SABA
Kuna mwana naitwa Kichefu nyimbo inaitwa utanikumbuka, humo jamaa alipita kama Roho Saba.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] acha kabisaaaaSipati picha huko jeshini akiwa anaimbisha chenja Lumoge