brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
Yah nimekumbuka majibu yake yalikuwa yananifurahisha sana au ndio wewe nini??umemkumbuka ngoja aje
wewe mimi kidume cha mbegu na sio huyu dadaYah nimekumbuka majibu yake yalikuwa yananifurahisha sana au ndio wewe nini??
poa poa sniper boi ila si unajua humu jf watu huwa wanatumia ID zaidi ya moja na kila ID kwa hiyo mtu mmoja anaweza akajifanya mwanamke na Id nyingine mwanaumewewe mimi kidume cha mbegu na sio huyu dada
aaah kumbe ndo michezo ya watu humu ndani boi mimi na account moko tu humu ndanpoa poa sniper boi ila si unajua humu jf watu huwa wanatumia ID zaidi ya moja na kila ID kwa hiyo mtu mmoja anaweza akajifanya mwanamke na Id nyingine mwanaume
Wengine wanazo mpaka 6aaah kumbe ndo michezo ya watu humu ndani boi mimi na account moko tu humu ndan
Aisee kumbe ni mwanafunzShule zimeshafunguliwa atakuwa keshaenda hostel/boarding
am not sure it was just a joke!Aisee kumbe ni mwanafunz
Bado kadogo sana kale hakawezi kuwa kameolewaNilimtumia private sms akanijibu aisee yupo? Labda majukumu ya ndoa yamembana nn??
nichangamkie fursa hiiBado kadogo sana kale hakawezi kuwa kameolewa
Waungwana hivi huyu msichana rubii yupo wapi?? Maana yupo kimya sana isije ikawa yupo kaburini
Nimezikumbuka sana post zake. View attachment 399655
Bebii hujalala?!!Juzi sijui nilikuta like yake, so yupo
BadooooBebii hujalala?!!