Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Umeniletea juice ya pilipili?Nitajitahidi mpendwa wangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeniletea juice ya pilipili?Nitajitahidi mpendwa wangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Moniccca niko naye hapaView attachment 400201
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu unaweza kukuta moniccca anafanana na huyu lady anayepiga pedal hapo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu umenifanya nimecheka hadi nikapaliwa na kiburudisho aiseeee.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu unaweza kukuta moniccca anafanana na huyu lady anayepiga pedal hapo
Oooops samahani mkuuMkuu umenifanya nimecheka hadi nikapaliwa na kiburudisho aiseeee.....
Umenikumbusha mbali sana, hasa ule mfululizo wa threads za monicca na matukio yenye visa kila kukicha
[emoji13] [emoji13] [emoji13]
ile dip ya yudomu (kidding)[emoji2] [emoji2]Aisee kumbe ni mwanafunz
Tatty aliagaMimi namtafuta rafiki yangu Tatty,amepotelea wapi jamani?....and what happened in those days?......mwenye kujua alipo please help me!!
Upo sayari gani?
[emoji100] [emoji100] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Sayari ya burudani atiii jf mnara hausomi
Aliaga kuwa anaenda wapi?[emoji24]Tatty aliaga
Inabidi mnipe pongezi ya kumfufuaNaona baada ya rubii kufufuliwa mambo yamekuwa murua kabisa![emoji23]
Usitukimbie tena bhana
Ngoja nisake huo uzi nitakurudiaAliaga kuwa anaenda wapi?[emoji24]
daaah kwa hiyo una mpango wa kutukimbia tena??Nikimaliza kutengeneza my new video nitarudi online 24/7
Ameolewa nimemwekea masharti jf mara moja kwa mwezi..!Juzi sijui nilikuta like yake, so yupo
Dah... Tena juzi tu hapa ndiyo kufanya mtihani wake wa LY[emoji85]Aisee kumbe ni mwanafunz