Yupo wapi Sakina Datoo?

Yupo wapi Sakina Datoo?

masare

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Posts
1,791
Reaction score
1,830
-Mmoja ya wahariri mahiri kwenye vyombo vya habari
-Amewahi kutunukiwa Tuzo ya Uandishi Bora wa mambo ya utalii kwa Afrika nzima
-Mara ya mwisho kumsikia ni kipindi kile yupo The Guardian baada ya kutoka Mwananchi Communications

Je kwa sasa yupo wapi
 
Back
Top Bottom