Jitu jeusi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,715
- 2,385
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseee nahisi unaniimbia daah hahahajackie-marie
atakuwa kaolewa sanaa kaeka pembeni
nliupenda mno wimbo
tulia kwangu mpenzi mi ni wako daimaa
tulia mpenzi wangu mi ni chaguo lakoo
wasikutishe kwa manenoo
mi ni wako mahabubaa[emoji4] [emoji4]
Nikipata wasaa na nikakumbuka nitakuwekea audio hapa!Mwenye audio yake naomba aitupie hapa.. Nmeitafuta google naona wananiletea ngendembwe tu..!
Ntashukuru mkuu..!Nikipata wasaa na nikakumbuka nitakuwekea audio hapa!
hahaaa jose banaAiseee nahisi unaniimbia daah hahaha
Mkuu acha uongo we kipindi icho si ulikua shamba bado hujaja mjini kwa shemeji ako????Mkuu um
Daaah..! Hii nyimbo nilikuwa naipenda sana..! Kipindi kile nipo olevel ndo ngoma imebamba ilikuwa lazima niicheki kwenye channel ya C2C mida ya jioni...! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
uko vizuri inaonesha unajua kuimbahahaaa jose bana