Yupo wapi siku hizi huyu mwanamuziki--jackie??

Yupo wapi siku hizi huyu mwanamuziki--jackie??

Umenipa hitaj la moyo wangu, huu wimbo niliutafuta Sana Ila nikawa naukumbuka unapotea aisee dah asante Sana jf
 
Anakipaji huyu Binti ..Nilionana nae Mara mbili tatu Dubai..Sina hakika Kama Bado anaishi Dubai.. Anajitambua siyo Skendo za ajabu ndiyo maana Yuko kimya ..
 
ila video za zamani bana! simple simple tu hakuna mambo mengi...
 
Nilikuwa naweka repeat kwa huu wimbo usiku mzima..
 
Doh...nilikuwa naielewa sana hii nyimbo..hahaa
 
Kuna baadhi ya wasanii wakike wakitambo kile sanaa iliwasaidia kujulikana sana na kufanikiwa kupata waume wakutulia nao, huenda ikawa nae alibahatika...starathomas, rahaP, besta, n.k
 
Duh umenikbusha mbali kipindi hicho niko darasa la saba, kuna demu wangu alikuwa ananiimbia. Uko wapi classmate wangu.
 
Back
Top Bottom