Yupo wapi siku hizi huyu mwanamuziki--jackie??

Mtoto alikuwa mkali huyu. Mwenye details zake jamani
 
Alitoaga bonge moja la wimbo akatokomea kusikojulikana
 
Hicho ni kipindi ambacho, nyimbo zilikuwa nyimbo kweli, kinachoimbwa kina maana na kueleweka...

Kipindi ambacho wasanii walikuwa wanaamisha wanachoimba...


cc: mahondaw
 
Mkuu um



Daaah..! Hii nyimbo nilikuwa naipenda sana..! Kipindi kile nipo olevel ndo ngoma imebamba ilikuwa lazima niicheki kwenye channel ya C2C mida ya jioni...! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu acha uongo we kipindi icho si ulikua shamba bado hujaja mjini kwa shemeji ako????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…