Kama weweMdada mzuri huyo hadi raha
Kivipi mkuu?Hii ngoma ilinifanya nipate demu
Vipi mkuu jamaa alikurudishia avatar yako?uko vizuri inaonesha unajua kuimba
Yeah wametulia sasa hivi hawana wenge tena mkuuVipi mkuu jamaa alikurudishia avatar yako?
Enzi za kuvaa jinzi rangi ya Binzari chini imemwaga na blauzi kama ya Kelly Rowland kwenye Dilema......πππ
madanga hayakumuacha salama, saivi ni mama wa watoto 4 huko bagamoyoAlitoaga bonge moja la wimbo akatokomea kusikojulikana
Mhhhjmadanga hayakumuacha salama, saivi ni mama wa watoto 4 huko bagamoyo