hahaha hamna kitu mkuu...nilitaka nijue mgumu wetu wa kike wa longi kama kashapata wa kumweka ndaniNdo Ivo kashafariki
Haha cjui kama kaolewa vp Unataka Ukachukue Jiko
Alikua Mbele Mwaka jana alikuja Ila nahc kashaamshaa Maana Inaonekana Anamichongo kule anapiga baada ya Kumaliz skuldaah!
yuko wapi huyu jamaa?
Kabisa GK alitakiwa amtoe paulina zongo,arafu pia hata nyimbo za paulina zongo hazi patikani hata youtube.hasa Crazy GK
GK mwenyew saiv anaimba Sijui Nilisikia Yupp NairobeeeKabisa GK alitakiwa amtoe paulina zongo,arafu pia hata nyimbo za paulina zongo hazi patikani hata youtube.
True mi mwenyewe nshazosakaga sana za hiyu dadaKabisa GK alitakiwa amtoe paulina zongo,arafu pia hata nyimbo za paulina zongo hazi patikani hata youtube.
OkeSasa bosi wake alikuwa wema sepetu unategemea nn??
mirror angekuwa na management nyingine angekuwa anaimba mpka now
Kuna Tetes Kuwa Petit Money Anataka Amsign Rooftop ent
ROHO 7.Captain wa jeshiWapi Nemo?, Adili wa Chapakazi?
yule jamaa aliimba nakupenda Hip Hop nasikia kawa mwanajeshi sasa tukumbushane aliitwa nani?
Salu T yupo ,anatoa ngoma bado kama kawaida.-Alicom
-Mishi
-Ali Mbongo
-Angie
-Baucha
-BDP(Big Dog Posse)
-Benja Wa Mambo Jambo
-Blacc
-Caz T & Sarah
-Bon Cruz
-B Town Clan
-Bob Rudala
-Buibui
-Bwana Misosi
-YP & Y Dash
-Chelea Man
-Chiku Keto
-Chibwa
-D Knob
-Mez B
-Daz Nundaz
-Danny Msimamo
-Squeezer & Dataz
-Dk Leader
-Sir-leh
-Mabaga Fresh
-Mad Max
-Mac Dizzo
-Makamua & Q Jay
-Manzese Crew
-Jita Man
-O Ten
-OCG
-Noorah
-P1 Black
-E Smile
-I Two Kachaa
-Lil Gray
-Jacky Marie
-Bonta
-LWP
-M 2 The P
-Easy I
-Jose Mtambo
-Joslin
-Sister P
-Estaam
-Fatma wa Dibaji
-Luteni Karama
-Hafsa
-Soggy Doggy
-Solo Thang
-Zay B
-Gosby
-Ras Lion
-Renee Lamira
-Salu T
-Hongera
-Hard Mad
-Imam Abass
-Pasha
-Sonell
-Spack
-Zadao
-Steve RnB
-Stoppa Rhymes
-Planet 2000
-Simple X & Black Rhyno
-Rado
-Suma G
-TMK Majita
-Vumi
-Wandago
-Waswahili
-Yaki
Alimwoa faridayeah!
niliskia alimuoa msanii mwenzie halafu wote wakapotea mazima!
Jomba Ksal alikua hajui kuimba?ushawahi kusikia ngoma zake nyingine?Ksal alikuwa hajui kuimba alibahatisha wimbo mmoja tu MKIWA ambao feruzi aliubeba kama Wa kwake. So kupotea ilikuwa ni lazima
Mkuu kweli mimi mara ya kwanza nilidhani nimefanisha kuna jamaa ndio akanihakikishia ndio mwenyewe na ana grocery yake maeneo ya Lukozi kwenda Mlalo.Mtunzi wa jumba la dhahabu ithink Tuesday kihangala yupo kule Lushoto anauza grocery yake.
Safi sana aisee vip kuhusu saigon yule alikuwa eatv nasikia nae yupo morogoro hapo anatangaza redio ya kiislam ila sina uhakika mwenye kujua atujuze
ewaaaaAlimwoa farida
nyimbo za Salu T mpya ni zipi?Salu T yupo ,anatoa ngoma bado kama kawaida.
Dr.leader mara ya mwisho nilimwona tanga mikanjuni tairi 3 maskani tu akila kaya
oh okayAlikua Mbele Mwaka jana alikuja Ila nahc kashaamshaa Maana Inaonekana Anamichongo kule anapiga baada ya Kumaliz skul
Duh.fame yote ile aishi lukozi.kweli mambo yanabadilika aseeMkuu kweli mimi mara ya kwanza nilidhani nimefanisha kuna jamaa ndio akanihakikishia ndio mwenyewe na ana grocery yake maeneo ya Lukozi kwenda Mlalo.
kweli kabisa..Kabisa GK alitakiwa amtoe paulina zongo,arafu pia hata nyimbo za paulina zongo hazi patikani hata youtube.