Yupo wapi Wakili Boniface Mwabukusi?

Yupo wapi Wakili Boniface Mwabukusi?

Ogopa sana uvuja jasho wa mdomo na ahadi za namna ile, saivi anagawa bloc tu huko X😂🙌
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Huyu mwamba jasiri alikuja kwa kasi ya moto wa nyika ila kapotea ghafula.

Hatumsikii tena akitoa matamko juu ya ukiukwaji wa haki nchini. Mfano utekaji na kuenguliwa wagombea wa upinzani ktk mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa.

Yupo wapiii?
Yupo katika hii hali, nchi ngumu sana hii
GZxDBq-XUAQcvLx.jpeg
 
Raia wa kitaa wanajifanya wanajua kuchambua makosa ya viongozi. Nao wakipewa shavu serikalini wanakua kama Mwabukusi.

Ngozi nyeusi tuna laana ya tamaa
 
Huyu mwamba jasiri alikuja kwa kasi ya moto wa nyika ila kapotea ghafula.

Hatumsikii tena akitoa matamko juu ya ukiukwaji wa haki nchini. Mfano utekaji na kuenguliwa wagombea wa upinzani ktk mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa.

Yupo wapiii?
TLS ina utaratibu wake wa Viongozi kufanya kazi, hawezi kuongea bila utaratibu kama zamani.
 
Inasemekana watekaji walimteka kimya kimya wakamtisha kuwa akiendelea kuikosoa serikali ajue atawaacha watoto wake wakiwa wadogo ndiyo maana amepoa kama maji ya baridi
 
Huyu mwamba jasiri alikuja kwa kasi ya moto wa nyika ila kapotea ghafula.

Hatumsikii tena akitoa matamko juu ya ukiukwaji wa haki nchini. Mfano utekaji na kuenguliwa wagombea wa upinzani ktk mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa.

Yupo wapiii?
Kaonjeshwa utamu wa asali
 
Huyu mwamba jasiri alikuja kwa kasi ya moto wa nyika ila kapotea ghafula.

Hatumsikii tena akitoa matamko juu ya ukiukwaji wa haki nchini. Mfano utekaji na kuenguliwa wagombea wa upinzani ktk mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa.

Yupo wapiii?
Mke wako yupo hapo huenda wako pamoja faragha!
 
Watu wenyewe wa kupambaniwa tuko wapi?! Mwacheni wakili msomi apumzike.
Kafanya sehemu yake, kakosa sapoti!
 
Back
Top Bottom