Wana jicho latatu someni mnielewe....
Iko hivi kila Mali inayo toka nje ya Taifa unahitaji ukwasi wa pesa ya kigeni mmenipata hapo wanazengo?
Sasa hawa Mawaziri au waziri wana push agenda ya free trade while sisi kama Taifa hatuna Mali yaku export zaidi ya chakula na madini sijuwi kama mnanielewa nyuma ya pazia Taifa fulani jirani ameshusha value ya pese yake against Tz?
Wajinga fulani naomba radhi kwa kuwaita wajinga ila wao kwa akili zao wamekuja nakumpigia mama makofi eti unaona value ya pesa yetu imepanda kuliko pesa ya hawa jamaa? Wewe waache wachonge usiwasikilize.
But what is behind scene kumbe Taifa jirani wameshusha value ya pesa yao against yetu ili wakombe malighafi kwa madafu yao while wakijuwa kwakuwa sisi tumelala usingizi wapono watatukamia kwenye USD? Kumbuka same Taifa ndio soko kuu la USD.
Mbaya kuliko yote haya majamaa yanabeba kila kitu yaani nahisi hata magunzi yanabeba..
Ila sasa jambo baya kabisa ambalo hata watu wetu wajicho la tatu hawajaliona nikiwa hapo kwenye ukanda wa Sahara Kuna njaa yakufa mtu yaani watu wanakufa na msosi upo Tz kwa bei poa ila kwa kuwa tupo kwenye usingizi tunategemea msimu ujao while huwo msimu ujao hakuna chakula cha kutosha wakati wakiwa wamesha fagia reserve yetu msimu ukianza watanunua kwa bei ghali zaidi ya wanayo nunua sasa jambo kwenye kuanzia Sept hali itakuwa sio hali.
Sasa tutakapo taka chakula ndio tutanununua kwa USD while wao walikomba kwa madafu yao mbaya kuliko yote kutokana na projects na madeni tunayo yaani kitaumana nasema kitaumana. Ni tetesi Soo usiniguse tusigusane.
Pambana na hali yako.
Update
Niliwaambiaje Mawaziri hawa wataliingiza Taifa mtaroni... Yani tani elf 90 wameagiza kwa fx alafu bei itashuka while same mchele umeuzwa nje kwa bei ya chini kwa Kenya.... Hii ni Aibu.... Tis work up hakuna bei kushuka ila ndio zina panda labda mniambie mmenunua huwo mchele kwa Tshs sijajuwa ni Taifa gani wametupa mchele kwa Tshs.
Mh Magufuli utaishi baba Wacha wakusagie sumu but mwendo umeumaliza watu watasafiti kila Kona kuja kuhiji kwenye kaburi lako... Itakuwa Aibu Aibu ya mwaka mpaka wanao kusema watakuja kuomba Toba...