uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 9,616
- 22,521
Kagoma jamaa ni habari ingine aisee 90dk zote akisaidiana na Ndemla kafanya beki ya Singida ifurahie mechi wakati Kazadi akitamba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kagoma jamaa ni habari ingine aisee 90dk zote akisaidiana na Ndemla kafanya beki ya Singida ifurahie mechi wakati Kazadi akitamba
SawaHuyo Ndemla ni takataka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jana nimeshuhudia mchezo mzuri sana baina ya Azam na Singida lkn kubwa zaid ni pale kiungo asieimbwa sana Yussuf Kagoma akimfanya atakavyo kiungo wa kimataifa wa Ghana James Akaminko, Kagoma ambaye msimu huu alichezea Geita Gold na kuondoka dirisha dogo, ameingia moja kwa moja kwenye kikosi cha Singida na kuonyesha kuwa yeye ni mwamba hasa.
Akaminko ambaye anasifika kwa utulivu na utawala wa sehemu ya kiungo alishindwa kabisa kabisa kuonyesha utofauti wake na Kagoma kwani Kagoma alimfanya na kumgeuza atakavyo pale kwenye dimba la amani karume mjini Zanzibar.
Hawa ndio wachezaji wanaotakiwa kuchezea Stars na timu kubwa kama Simba au Yanga.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Kagona anakuja vizuri ila Akaminko ni kitu kingine kabisa.
Sawa
Na alishapewa laki tano za mchezaji bora wa mechi.Angeona pressing ya ndemla juzi asingeongea pumba zake hapa