Yussuf Poulsen: Mtanzania anayekipiga na Timu ya Taifa ya Denmark

Yussuf Poulsen: Mtanzania anayekipiga na Timu ya Taifa ya Denmark

Ufipa-Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2012
Posts
4,582
Reaction score
2,783
Ni katika hali ya kawaida sana. Naangalia mechi ya Denmark na Armenia muda huu. Nikavutiwa na mchezaji mmoja wa ushambuliaji wa Denmark.

images


Maajabu naona baba ni Mtanzania na mama ni Mdanishi. Inawzakana kuna wengi ila tumekosa watu wa kufuatilia watu wa namna hii.

Soma zaidi: https://en.wikipedia.org/wiki/Yussuf_Poulsen
 
Poulsen is the son of a Tanzanian father and a Danish mother.His father died of cancer when Yussuf was only 6 years old.
 
Manake bila picha sisi wana JamiiForums habari huwa haijakamilika:

9k=

Yussuf Poulsen
 
WTF is this? LOL Watu wengine bana, huwa mna mawazo ya ki-angani angani bin ki-vaccum. Hivi unafikira huk Denmark hakuna majina mengine yasiyoishia na"sen"? Nicklas Bendtner, Daniel Agger, Peter Schmeichel wote wana majina tofauti na hayo ya "sen". Kwa hiyo ungekuwa Japan ungejiitaje? Kumbuka majina yao kwetu yanakuwa matusi eg Kumqmoto blah blah
Kitu kingine huyo dogo inaonekana tayari yupo katika timu ya taifa ya Denmark, kashacheza mechi 7 (wikipedia) kama ana damu ya Kibongo basi ndiyo imeshatoka hiyo. Tutabaki kushangilia sehemu yake nusu(upande wa baba'ke). Huwezi kumlaumu mtu kama huyu, hata kama ningekuwa mimi (au ndugu yangu)nisingechezea Bongo au kumshauri kuchezea Bongo wakati ana nafasi ya kuendeleza kipaji chake katika anga ya dunia. Vyama vyetu na viongozi wetu wa kiafrika/kitanzania hawana vision wala kujali maisha ya wachezaji badala yake wanawatumia kama punda au farasi kujinufaisha.

Mkuu umejenga hoja vizuri lakini hukuwa na sababu ya kuponda mawazo yangu! Pole sana Mkuu.
 
Angalia fifa rankng na nchi zilio kati ya nchi hizi mbili halafu nawe ujipime ungechezea timu gani.
 
Back
Top Bottom