Yusta Msowoya: Wanawake kuweni na kauli nzuri kwa waume zenu, wanaume hawapendi kudharauliwa na wanawake

Yusta Msowoya: Wanawake kuweni na kauli nzuri kwa waume zenu, wanaume hawapendi kudharauliwa na wanawake

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Somo @yustamsowoya amewahasa wanawake kuwa na kauli na lugha nzuri pindi wazungumzapo na waume zao kwani hakuna mwanaume anayependa kudharauliwa na mwanamke.

Chanzo: EastAfricaRadio

Huu upuuzi Wao wakawafanyie tu Wahaya, Wanyaturu, Waha, Wanyiramba, Warangi, Wakara na Wanyamwezi siyo Sisi.
 
utandawazi unawafanya baadhi ya wanawake kujiona wana haki sawa na wanaume... aisee sio kwangu
 
Back
Top Bottom