sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Ulitaka aseme nawapigia Azam? Una umri gani wewe?Mbona yeye alisema kuwa anapigia familia yake huwa anawaambia Leo nichekini kwa umakini nitafunga kabla ya kutoka ?
Ni kweli lakin upo nje ya madaYOTE YA YOTE YESU KRISTO NI BWANA NA MWOKOZI WA KILA MWANADAM
Umri wangu ni miaka yangu 23, kweli hilo hawezi kusema sasa wewe umetoa wapi info hizo au umetunga kutokana na mpangilio wa matukio?Ulitaka aseme nawapigia Azam? Una umri gani wewe?
Mimi naishi mjini siokotezi habari, ungenijua usingeropokaUmri wangu ni miaka yangu 23 , kweli hilo hawezi kusema sasa wewe umetoa wapi info hizo au umetunga kutokana na mpangilio wa matukio ?
OkayMimi naishi mjini siokotezi habari, ungenijua usingeropoka
Box to boxMimi nimependa shangilia hio imekaa vizuri mleta mada Mudahir anacheza Namba ngapi uwanjani?
Taja Namba yake uwanjaniBox to box
Anatufundisha tujitahidi kupokea simuSimu ya Mudathir imezua balaa.
Ila mimi nawashangaa wanaosema anaipigia familia yake, hivi kwa akili zenu kabisa mlidhani atasema ukweli anampigia huyo Yusuph au Try Again?
Hiyo simu ni fumbo, na kwa kusoma body language yake wakati anaipiga sio simu ya familia ile. Huwa anaipiga kishari sana.
Umeshaamka mapema hii.Simu ya Mudathir imezua balaa.
Ila mimi nawashangaa wanaosema anaipigia familia yake, hivi kwa akili zenu kabisa mlidhani atasema ukweli anampigia huyo Yusuph au Try Again?
Hiyo simu ni fumbo, na kwa kusoma body language yake wakati anaipiga sio simu ya familia ile. Huwa anaipiga kishari sana.
Yusuph Bakhresa pokea Simu...Umeshaamka mapema hii.
Yusufu hakuhusika ni wale maofisa wake ndio waliompigia simuView attachment 2915549
Mudahir wakati yupo Azam FC alikuwa mwishoni wa mkataba wake akaenda kuzungumza na uongozi wa Azam kuhusu kuingia mkataba mpya na akataka kuongezewa mshahara.
Viongozi wa Azam FC na tajiri wao Yusuf Bakhresa wakamwambia sawa ila nenda tunajadili kisha tutakupigia simu.
Baada ya muda akiwa kwao Zanzibar anaona taarifa imetolewa kuwa ameachwa.
Muda akaamua kukigeukia kilimo mpaka alipotafutwa na genius Injinia Ersi aende akakipige Yanga.
Kwa hiyo ushangiliaji wa Mudahir ni kwamba ameamua kuwapigia simu yeye mwenyewe mpaka wapokee. Wasipopokea tumekwisha.
Umeongea ukweli....View attachment 2915549

YOTE YA YOTE YESU KRISTO NI BWANA NA MWOKOZI WA KILA MWANADAM